Zanzibar Quality bakery ni wahusika wa kupika Vyakula mbalimbali vikiwemo Biriani,Pilau,Keki,Vileja,Mikate,Sandwich na vyakula vyenginevyo kwa bei nafuu
Ijumaa, 23 Machi 2018
Oda oda oda
Je Nyumba yako haishi wageni????
Je unataka kunywa kahawa na vileja ???
Zanzibar Quality bakery ndio suluhisho
Kwa shilling elfu kumi na tano utapata vileja vya tende popote ulipo zanzibar
Vileja hivi ni kwa chakula cha nyumbani hata ofisini
Bila kusahau vyakula vingi vingi vinapikishwa kwa oda na hata kula mara moja
Fika Beit rass Bububu Zanzibar kwa kuweka oda
Au tutumie message kwenye ukurasa wetu wa Facebook
Zanzibar Quality bakery
Karibuni sana
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KUKU WA SEKELA
JINSI YA KUPIKA KUKU SEKELA (TANDOORI CHICKEN) Mahitaji Kuku vipande 6 visivyo na ngozi Maziwa mrindi nusu kikombe Paprika nusu k...
-
Katika muendelezo wa mapishi Unga wa ngano (nusu kilo) Sukari (Kikombe 1 cha ili hai) Maziwa (kikombe1) Maji ya uvuguvugu ya kukan...
-
JINSI YA KUPIKA KUKU SEKELA (TANDOORI CHICKEN) Mahitaji Kuku vipande 6 visivyo na ngozi Maziwa mrindi nusu kikombe Paprika nusu k...
-
Unga wa ngano (wheat flour 1/2 of kilo) Siagi vijiko 2 vya chakula Yai (egg 1) Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai) Hiliki (ground cardam...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni